Msakuzi Sports Promotion inawaletea mbio za kipekee ndani ya hifadhi ya Pande Ubungo Dar es salaam, tarehe 12/07/2025. Hii ni fursa ya kipekee ya kupita katika njia mpya, kufurahia uoto wa asili na mandhari tulivu ya hifadhi yetu, kuona wanyama, kula nyama pori na burudani.